matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mabeberu US na wenzake hakuna taifa ambalo litafanya mipango au miakakati isijue. Wataiuzia taarifa hizo.
Mabeberu wana silaha ambazo wakiipa nchi ndogo saizi ya hekari moja, Silaha moja tu ikitumiwa lazima uipigie magoti nchi hiyo ndogo.
Wanaweza kuipa nchi ndogo taarifa za kiintelijensia wakafanya shambulio moja tu na mkubwa akakaa chini.
Labda ndio maana PK anampiga mkwara Ramaphosa.
Labda ndio maana PK anasema kuhusu Askari wa kukodi (mercenaries) yeye anauwezo uliopitiliza wa kuwapoteza ( overstocked)
Nimemsikia mwandishi mmoja anasema jamaa anakikundi cha crossboarder assassin ambao wanaweza kufika popote duniani kwa msaada wa marafiki zake.
Nimemsikia Msouth afrika mmoja anasema wanajeshi wao wameuliwa na Silaha kutoka Israel.
Nikamkumbuka Bwana Yesu qliposema "Kabla hujaingia vitani hesabu gharama kwanza", Ili kama humuwezi tengeneza amani mapema kabla ya hasara.
Wale jamaa M23 waliposema kupitia yule babi mwenye mandevu meupe kuwa wanaelekea Kinshasa kama, Waasi hao wanasapotiwa na PK na Marekani wanauweza wa kufika popote wanapotaka katika eneo la maziwa makuu.
Mwenye uwezo wa kumaliza vita hivyo sio PK, SADC au EA ni mbabe Donald Trump kama US walipoamua kumaliza Vita ya Angola 🇦🇴 kwa siku moja tu na Savimbi akarestishwa in peace.
Hii itawezekana kama maslahi ya wamagharibi mashariki ya Congo yatakuwa yamekamilika.
Binafsi huwa naomba Mungu aingilie kati tu maana vita vya maslahi vinaweza hata kufuta mamilioni ya watu ili wachache wanufaike.
Ni hayo tu, bado tunamengi ya kujifunza hapo mashariki pa qfrika mashariki.