Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Jana wakati
naangalia taarifa
ya habari
mtangazaji
akasema "mpenzi
mtazamaji nataka nikupeleke moja
kwa moja hadi
marekani"
nikazima TV kwa
haraka nikaenda
kuvaa viatu. Hadi sasa hivi bado nimekaa
hapa sebuleni nahisi
bado
wanaihangaikia
Visa yangu.
 
Washa tena Tv yako muda huu ndio watakukabidhi hati yako....usichelewe!
 
huwezi amini mlevi alichomjibu mzungu

mzungu: do you drink beer?
mlevi: yes
mzungu:is it happening regularly or occasionally
mlevi: I drink occasionally but the occasion comes regularly
mzungu:you will pay for your bill
mlevi:pumbavuuuuuu maswali mengi kumbe huna kitu
 
Mzungu kwa ubahili utamuweza?we huoni ya makinikia?kutoka kupata noa mpaka 14500/kila kichwa.Wazungu wabahili asee!!Hawaliwi vyao bure si umeona bombadier?Ila JPM bana tena kidogo bana karibu tunafika ngarenaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…