Nilichokiona jana kwenye daladala ya kwa Morombo-Arusha

Na sisi baada ya kukupiga makofi hatujaridhika uko wapi tukuongeze
 
Pole sana kwa kupokea kipigo toka kwa Vijana
 
huyo mzee anabahat Sana angekuwa maeneo ya ungalim au uswahilin mwiz namzeee ungekuta wako katikati ya dunian na ahera
 
kama hujawahi ibiwa hujuwi adha yake.........MWIZI HATETEWI KABISA..........juzi tumemnywesha rojo la cement.......kaenda kujifia huko mbele.....
 
Huyo mwizi angepigwa na kuinamishwa chap.
Si anapenda vya bure.
 
Masahihisho miaka 50 sio mzee
 
Morombo pamenikuza Mimi,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]ila Mimi sio kibaka jamni
 
s
safi sana na ww ilibidi uchezee kichapo kwa maana kukumuwajibisha muizi ww ulikuwa makini kurekodi. Iwe mfano kwa wanaume wa dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…