Nilichokiona kwa rafiki yangu mwenye dada mgonjwa wa akili. Ni mtihani mzito kusema kweli

Bora mtu akuue kuliko kukutia uchizi na uwendawazimu. Ni mateso.
Kuna mmoja anaitwa omary yeye muda wote anaongea tu,na ukimuudhi hayo matusi ni balaa,
Mwingine wanamuita manyanya huyu bwana haongei kimyaaa.
Kuna Mwingine juzi kazamia kwenye mgahawa unajua jinsi walivyo kimavazi. Cha ajabu anaona sabani aliyotumia mtu anamwambia itoe sahani chafu usiniwekee humo
 
Kwa kweli bora wangemuua. Ni mateso kwa ndugu zake.
 
Acha kutoa siri za ndani,
Chizi anachekeaha akuwa si nduguyo
Apelekwe milembe
Atafutiwe bwana ampelekee moto
 
Kuna mmoja huwa namuona njia ya Goba, analala mtaroni. Yeye anapiga nyeto saa zote ukimuona hata kwenye jua kali.
Inasadikika alimgongea mpemba mkewe na mtoto ndio akapewa uchizi huo.

Hakika bora mtu akuue kuliko kukutia wazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…