Pamoja na Aziz Ki kufunga, bado hakukuwa na jitihada na mikakati ya dhati kumtengenezea mazingira ya kufunga zaidi. Dodoma FC walipoteana jumla lakini wachezaji wa Yanga walionekana kuridhika na kutokuwa na njaa na nia ya kunisaidia Ki aweze kuongeza idadi ya mabao.
Inaonekana Yanga hawana mzuka saaana na ishu ya mfungaji bora na/au kuna wivu na ubinafsi. Aziz Ki afanye jitihada binafsi kama ana nia ya kutwa kiatu vinginevyo sioni urahisi kwake kushinda tuzo hiyo