LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Ilikuwa mwaka 2019 nikiwa nauza duka maeneo fulani hivi, alikuja mama mmoja akaweka Simu yake bondi nikampa 3000, ilikiwa Simu ya batani nikaichukua na kuitupia kwenye box nililokuwa natunzia mifuko ya kaki wala hata sikuichunguza kama ilikuwa inawaka au INA nini humor ndani.
Nilikaa nayo mwezi mzima bila ya yule mama kutokea na nikawa nimesahau kabisa, sasa baadaye alikuja akanipa 3000 yangu nikampa Simu yake akaondoka nayo, baada kama ya Massa matano nikiwa nimekaa zangu dukani nilishtushwa na mlio wa kitu kikitua ndani ya duka, benkele benkele, ilikuwa sauti ya huo mlio Kutazama ni ile Simu ya yule mama kuinua macho nikamuona na yeye amesimama mbele ya duka, akasema, nanukuu, naomba urudishie vitu vyote vilivyokuwa kwenye hiyo Simu, mwisho wa kunukuu, akaondoka hata kabla sijamjibu.
Sasa nikawaza sana, nikakumbuka wakati tunapeana hiyo simu hakukuwa na mtu yeyote aliyekuwa anajua,
nikatulia tu zangu, kesho yake akaja akaniambia nimpe Simu yake ikiwa na vitu vyote, nikamuuliza, Simu ipi?
Ni hivyo tu yaani ila ile simu nilikuja kuiuza kama spea kwa mafundi Simu.
Usimuone kila MTU ni mjinga wengine wameamua tu kujifanya wajinga.