Nilichomjibu paka wakati akibweka kijinga dirishani kwangu...

Siku ingine akija tena usiku, mwambie huo muda unaozurura juu ya paa za watu bora aingie JF Jukwaa la usiku wa manane ama jukwaa la Wakubwa tu!
 
Acheni imani za kishirikina.uchawi ndiyo nini. Uchawi tuu.jifunze kutambua tabia za Wanyama na viumbe vingine itakusaidia kuondoa imani duni. Karne hii ya teknolojia una amini uchawi.bado tupo mbali
 
Hahahahaha hapo ulikuwa unaongelea ndani ya shuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…