geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
Ushasema wewe sio mchambuzi. Raja Casablanca?Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni.
Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa kupindua matokeo akiwa home.
Na kwa msingi huo huo na amini simba itashinda nyumbani kwa matokeo ya jumla na kuwa bingwa wa CAFCC
Nta review hii post tarehe 25May,2025
God wish.
Mimi huwa najiuliza huo uwanja wa Benjamin mkapa ambao 5imba huwa anajivunia ni kombe gani aliwahi kulibeba hapo toka huo uwanja uwepo?Acha ujinga lala wewe, kuna timu za kupindua matokeo sio Berkane.
Ungekuwa na akili ungeomba Mungu tusidhalilike nyumbani, walau Berkane wafunge 1-0.
Kwani kipi kigumu hapoAcha ujinga lala wewe, kuna timu za kupindua matokeo sio Berkane.
Ungekuwa na akili ungeomba Mungu tusidhalilike nyumbani, walau Berkane wafunge 1-0.
Ujinga umeongeaMimi huwa najiuliza huo uwanja wa Benjamin mkapa ambao 5imba huwa anajivunia ni kombe gani aliwahi kulibeba hapo toka huo uwanja uwepo?
Je Kuna kombe lolote ambalo 5imba alibeba kupitia uwanja wa Benjamin mkapa?
Simba tatu plus ndoo, Berkane karahi plus rozari shingoni, yanga anakuwa amesimikwa mwiko kwa nyuma😎.
Hapana master mimi ningependa kujua kombe ambalo Simba aliwahi beba hapo Benjamin mkapaUjinga umeongea
Kuna aina ya timu ya kubadilisha matokeo ila sio Berkane simba akajiandae na msimu ujao naisitoshe msimu hakuna kombe atalobeba zaidi ya faraja na medali ya mshindi wa pili😂Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni.
Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa kupindua matokeo akiwa home.
Na kwa msingi huo huo na amini simba itashinda nyumbani kwa matokeo ya jumla na kuwa bingwa wa CAFCC
Nta review hii post tarehe 25May,2025
God wish.
Utalongeza minafiki hiyo siku. Tunawajua nyie.Acha ujinga lala wewe, kuna timu za kupindua matokeo sio Berkane.
Ungekuwa na akili ungeomba Mungu tusidhalilike nyumbani, walau Berkane wafunge 1-0.
hujui kitu. timu wachezaji walikuwa na ratiba ngumu mno mechi 6 mfululizo unafikiri ni kazi rahisiKwa mpira huu wachejazi wetu walivyomlenda miguuni tutegemee kufungwa nje ndani. Labda kama Kuna namna mchezo utachezwa nje ya uwanja. Tuseme ukweli simba ni mchovu mbele ya hao waarabu
Simba haina quality ya wachezaji kuchukua hili kombe wachezaji wazembe, ubunifu hamna , hawajitumi yaani unafikiri wanafanya kazi serikalini kwa kifupi wanatumia ile kanuni ya laizer fair uwanjaniNakubaliana kabisa na wewe mtoa mada.
Hata ukiangalia mifano michache TU ya nyuma,Simba alifungwa mbili bila na Al Masry akaja home akapingua meza
Ngoja tusubiri numerology analysis za DR Mambo Jambo zinasemaje ?..🤣🤣Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni.
Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa kupindua matokeo akiwa home.
Na kwa msingi huo huo na amini simba itashinda nyumbani kwa matokeo ya jumla na kuwa bingwa wa CAFCC
Nta review hii post tarehe 25May,2025
God wish.
Tarehe 25/5/2025 utaliona hilo kombe.Mimi huwa najiuliza huo uwanja wa Benjamin mkapa ambao 5imba huwa anajivunia ni kombe gani aliwahi kulibeba hapo toka huo uwanja uwepo?
Yanga alibeba kombe mbele ya MC Alger, Simba hajawahi kwa MkapaHapana master mimi ningependa kujua kombe ambalo Simba aliwahi beba hapo Benjamin mkapa