Nilichoomba ndio kilichotokea, Simba anachukua KOMBE

Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC nguvu moja...💪.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kwa mpira huu wachejazi wetu walivyomlenda miguuni tutegemee kufungwa nje ndani. Labda kama Kuna namna mchezo utachezwa nje ya uwanja. Tuseme ukweli simba ni mchovu mbele ya hao waarabu
Utopolo huwezi kujificha kabisa, huu mwaka ni wetu Simba SC.
"Kwa Mkapa hatoki Mtu".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mna kibarua kizito sana ,hivi mnaweza kufunga tatu bila? Penati hazina mwenyewe....Ili muwe na uhakika wa kushinda inabidi mfunge thalatha ambayo haiwezekani.
 
Kwenye mdomo ndio eneo lililobaki kujipa faraja ila ki uhalisia quality imeamua mechi Morocco na ita amua mechi Aman Complex.

Simba wakileta mazoea kidogo tu, upo uwezekano wakapasuka vibaya pale Zenji
 
Game ya mwisho Berkane alikufa moja bila kwa Mkapa hapa ,walikataliwa goli lao halali kama penalty za Jana ,.....Simba hata mcheze bunju ubingwa msahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…