Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Mimi:habari yako mkuu?
Yeye:salama tu,naweza kukusaidia?
Mimi:ndio mkuu,nilikua nataka kujua utaratbu wa utoaji wa majina ya waliopata mikopo kwenye NGO yenu yatatoka lini?
Yeye:anytime from today.
Mimi:mbona kuna tetesi kwamba nyie ni matapeli mnaotaka kutapeli tu wanafunzi?
Yeye:akahamaki{sikia kijana,hii nchi haitaendelea kwa kusikiliza majungu mbalimbali yanayosemwa kwenye mitandao ya kijamii kama jamii forum na facebook,sisi tumeanzisha kitu kizuri kwa ajili ya kusaidia au kupunguza ukali wa maisha miongoni mwa vijana wengi wa liochaguliwa vyuo vikuu hapa nchini,lakini watu wachache wasiojua nini umuhmu wetu ndio wanaeneza sumu kwenye mitandao ya kijamii,kijana nakushauri nawe utoe elimu kwa vijana wenzio kuhusu umuhmu wetu}
mimi:lakini lisemwalo lipo mkuu,si unakumbuka lile sakata la DECI,kwa hyo watu wengi wanaogopa kuingzwa mkenge,mnaonaje mkijitangaza zaidi ili watu wawe na imani nanyi?
Yeye:kama kujitangaza,tuliisha jitangaza sana kwenye vyombo vya habari{tv na magazeti,akaniambia niende library nikatafute magazeti ya daily news na nipashe ya mwezi may mwaka huu}
mimi:lakini hata website yenu haina updates ya k2 chochote,kwamba hata kutoa taarifa ya nini knaendelea hamjafanya hvo,hamuoni kama hapo mnazidi kuwatia hofu watu washndwe kuwaamin?
Yeye:kijana,kwanza kumiliki website inayojiendesha yenyewe ni ushahidi tosha,alafu hatuwezi toa kila hatua tuliofikia kwenye web yetu,akaniulza swali{kwan heslb huwa wanatoa taarifa ya kila hatua wanayokua wamefkia kwenye web yao?}
mimi:mbona watu wanasema hata ofic zenu hazieleweki eleweki,yani hazijakaa kama ofic ambazo kweli znahusika na utoaji wa mikopo?
Yeye:kijana,wewe unaangalia quality ya ofic au huduma itolewayo,ingekua ndo hvo hata ofic za Heslb nazo basi hazieleweki,maana nazo zimechoka?
Mimi:sasa braza,unanipa neno gani ambalo hata nikisema nataka kumshawishi atume maombi yake kwenu aweze kuwa na imani?
Yeye:waambie hao wenzio wenye imani haba,sisi tumejitolea kusaidia jamii ya kitanzania,na wala sio matapeli kama inavosemwa na hao watu huko kwenye mitandao ya kijamii,sisi tuko seriouz na tunachokifanya,mwenye imani na sisi atume maombi yake nasi tutayashughulikia,na mpaka sasa tayari 2mekwisha kushughulikia maombi kutoka kwa wanafunz wawaliochaguliwa vyuo kama udsm,mzumbe,udom,saut,st john,ifm nk na majina yao tutayaweka kwenye web yetu wkt wowote kuanzia sasa!
Mimi:swali la nyongeza,hvi Ngo yenu inatambulika serikalini?
Yeye:nenda hata ikulu wanaijua vzr,kwani imesajiliwa na inafanya kazi kihalali.
Mimi:asante sana kwa ushirikiano wako kaka.
Yeye:karibu sana.