Nilichoshudia leo kwa wanawake wanaojiuza

Mkuu najua ulipoingia ndan tuu najua gear zilianza kujipangua zenyewe gafla gari likawa free so hapakuwa na matumaini tena ya safari
Watu wanatomb#na wanne kwenye kichumba kidogo alafu kina Giza yaani wanatandika vigodoro tu chini..
 
Jamaa alishika "papuchi" kwa bahati mbaya. Dah amenifurahisha sana

Halafu kaenda kunawa na maji tiririka anahisi papuchi ilikuwa na UVIKO_19 ?[emoji1787]
Haikua bahati mbaya, alianza kunawa na alistuka wako wengi kwenye kigodoro. Akili iliporudi kichwani aliamua kususa chakula.
 
A
Haikua bahati mbaya, alianza kunawa na alistuka wako wengi kwenye kigodoro. Akili iliporudi kichwani aliamua kususa chakula.
Alafu yule dem alikuwa kajipuliza pafyume kali sana maana mpaka saivii bado na feel harufu yake kwenye mikono yangu
 
Wapi Huko namimi nije nifanye utafiti wangu
 
Wakati unachochea, ndom ikipasuka, Utajilaumu sana.

Unaweza taka ukajitolee kuwa mpishi kwenye maabara wanayofanya tafiti ya dawa ya ngoma. Ili uwe unawakumbusha "changamkeni jamani"
Uliza washauri wa CTC watakueleza namna ya maambukizi yalivyo %00.1 kwa wanaotumia dawa kwenda kwa asiyetumia.

Vinginevyo mzee, huu umalaya jinsi unavyopendwa na watu, miji mingi kufikia leo ingelikuwa imebakia mapagale bila kuwa na watu wa kuishi.
 
😂😂mkuu sio kwamba ulikua na ugwadu ukataka kupunguza kidumu
 
usifanye masihara na biashara ya watu. siku nyingine ukienda kwenye hilo eneo uwe serious....utakuja kupigwa, heshimu ofisi ya mtu.
 
Isha mkuta jamaa yangu hiyo.
Yeye alipelekwa geto Kuna wawili wanakula mzigo Ila mmoja anapiga simu mtandao wa tiGO. Chumba kinanika ova choo Cha kiswahili vile ambavyo watu hawatumii maji.Jamaa yangu kuona vile akasema hela kaa nayo ntakuja hao wakimaliza.
Ameapa Bora kwenda kwa wahaya Kuna privacy japo nako wakati wa kutoka Ni mtihani Kama Ni mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…