kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 715
- 994
Kwanza naanza na kusema nimeumia mambo aliyofanya huyu mvuta bangi wa Hispania Ramos,
Baada ya mechi usiku tukatoka nje ya pitch , nje kulikuwa hakufai, watu wanaosadikika kuwa mashabiki wa liverpool wamewapiga wafuasi wa Real Madrid na kusababisha hasara ndani ya Jiji la kiev,
Imebidi kujiweka mbali na senario hii maana ilikuwa nijumuishwe kwa wanaofanya vurugu, hasa wakiona mimi ni Nigger,
Polisi wamenishangaza wametulia tu mpaka vurugu zinaanza alafu badala wapige mabomu kuwatawanya wanaoleta vurugu, wanawabembeleza kuacha fujo,
Ila Ramos ni shetani