Nilichoshuhudia kwa macho yangu UEFA final

kyaibumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
715
Reaction score
994
Kwanza naanza na kusema nimeumia mambo aliyofanya huyu mvuta bangi wa Hispania Ramos,

Baada ya mechi usiku tukatoka nje ya pitch , nje kulikuwa hakufai, watu wanaosadikika kuwa mashabiki wa liverpool wamewapiga wafuasi wa Real Madrid na kusababisha hasara ndani ya Jiji la kiev,

Imebidi kujiweka mbali na senario hii maana ilikuwa nijumuishwe kwa wanaofanya vurugu, hasa wakiona mimi ni Nigger,

Polisi wamenishangaza wametulia tu mpaka vurugu zinaanza alafu badala wapige mabomu kuwatawanya wanaoleta vurugu, wanawabembeleza kuacha fujo,



Ila Ramos ni shetani
 
Ha ha ha sasa wewe hujui mambo ya kupiga mabomu ni ya huku Afrika tena sio bomu tu hata risasi inaweza kupinda kona kama ikionekana vipi namna gani....
 
Ramos senge sana kyoma,ila kyoma wataho h badala ya u kwenye nimehumia sana.Chyonka Ramos kalyempali.
 
Huna mamlaka ya kumuita binadam mwenzako shetani hata kama umemuona akikosea!!!

Kingine,police kwenye nchi zilizoendelea hawawezi kufanya uhuni unaofanywa na police wako uliowaacha bongo.kama wangepiga mabomu taharuki ingekuwa kubwa na si'ajabu hata wewe ungejumuishwa kwenye vurugu hizo.

Ugomvi wa watu 30/50 hauwezi kusababisha taharuki kwa watu maelfu waliokuwepo uwanjani waanze kukimbizana hovyo na kukanyagana,hao wanaofanya vurugu technique inayotumika ni kuingia katikati yao na kukamata mmoja mmoja sio polisi bongo shabiki anarusha chupa uwanjani wao wanapiga bomu za machozi.
 
Umesahau mashabiki wa Liverpool walivyowapiga mashabiki wa Man City?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…