Mimi binafsi nimefurahi sana, sijaona kosa lolote alilofanya Ramos! Nimechinja jogoo mkuu karibu msosi!Kwahiyo umefurahishwa alichokifanya huyo Ramos?
Mimi binafsi nimefurahi sana, sijaona kosa lolote alilofanya Ramos! Nimechinja jogoo mkuu karibu msosi!
big NO.Kwahiyo umefurahishwa alichokifanya huyo Ramos?
Poa mkuu, ngoja niendelee kukanyaga huu msosiSawa mkuu,, pengine kuna sababu ya kufurahishwa kwake..mbali na mchezo! Bye
Kwahiyo umefurahishwa alichokifanya huyo Ramos?
We kunguni wa Panyalona ile ndio kazi yake kama beki.
Yuko tayari kwa lolote mradi azuie mashambulizi.