Nilichoshuhudia leo wakati natuma fomu ya bodi ya mikopo

Mtoa mada usipotoshe watu kutuma kwa njia ya EMS si agizo la POSTA soma fomu yako vizuri then utajua kuwa bodi wenyewe ndio wanataka utumie njia hyo kama unaona gharama bandika stempu acha kulialia
 
Mtoa mada usipotoshe watu kutuma kwa njia ya EMS si agizo la POSTA soma fomu yako vizuri then utajua kuwa bodi wenyewe ndio wanataka utumie njia hyo kama unaona gharama bandika stempu acha kulialia
 
Yani mlinzi anawazidi akili form 6?
Huko shuleni mlienda kusomea ujinga au?
 
Acha kushabikia ujinga wewe........huyo mlinzi babako nini???

Inaitwa 'empathy', kujua nani anahitaji zaidi vs nani anacho zaidi. Sio ujinga kama unavyoita wewe.

Mlinzi anayepiga jero jero kwa ujanja na mtu anayelipwa M2 kwenye ofisi ya Serikali kwa kuingia, kugusa gusa kazi na kuingia kwenye mitandao ya kijamii nani mwizi uonavyo wewe.

Jaribu kuelewa, najua ni vigumu!
 
watu wana njaa jamani - si mnajua wafanyakazi wanataka kustarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…