Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda ktk ofisi za wakili yoyote yule mwelezee kwani atakupa barua ya kuwapelekea then watakupa majibu haraka.Jamani naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki hivyo naomba mnisaidie maana nimekosa jambo la kufanya
Rejea MKATABA wako na Taasisi ya Maboto unasemaje katika vipengele vya Marejesho ya mkopo na Usitishaji wa Mkataba (Kujitoa).Jamani naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki hivyo naomba mnisaidie maana nimekosa jambo la kufanya
Naomba mnieleweshe. Wanakataa kumpa balance ya deni kwa sababu wamesahau kuwa wanamdai au ni vipi? Ina maana kila mwezi halipi deni? Bongo ukikopa fedha hawakupi mkataba wenye mchanganuo wa kulipa? creophace Naomba jibu au mwingine mwenye jibu.Bila shaka wewe utakua ni mwalim
Nakushauri nenda kwenye ofisi za takukuru utakuja kunishukuru baadae nmekaa pale nauza karanga za kuchemsha
N.B usikope Tena kwenye microfinance yoyote Ile hta iwe ya familia
Uko sehemu gani kuna jamaa yangu ni wakili nitakuunganisha naye hawa maboto siyo wazuri kuna jamaa yangu walimzungusha hivi ila walimwachia.Jamani naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki hivyo naomba mnisaidie maana nimekosa jambo la kufanya
Sio Kila mkopaji ni mwalimu.Wewe ni mwalimu?
CcmWalimu wengi ni waoga sana hata kwenye kupigania haki zao
Hawataki wanasemaje? Maana lazima kuna maelezo wanayokupa, hawawezi tu kusema hawatakiJamani naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki hivyo naomba mnisaidie maana nimekosa jambo la kufanya
BayportJamani naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki hivyo naomba mnisaidie maana nimekosa jambo la kufanya
Hizi microfinance huwa zime jaa utapeli....na wakikuona mjanjanja kuwazidi wao hawakupiBila shaka wewe utakua ni mwalim
Nakushauri nenda kwenye ofisi za takukuru utakuja kunishukuru baadae nmekaa pale nauza karanga za kuchemsha
N.B usikope Tena kwenye microfinance yoyote Ile hta iwe ya familia
subiri nitakupa majibu kamili badaye kama uzi wako utakuwepo.Au njoo inboxJamani naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki hivyo naomba mnisaidie maana nimekosa jambo la kufanya
Nakumbuka nilienda siku moja kwa ajili ya mkopo wa miezi 4. Wakanipa limkataba lirefu , wanataka u sign bila kusoma. Wakanijazia taarifa za uongo eti nina duka sijui Tabata. Wee niliwawashia moto nikawaambia nawapeleka BOT sasa hivi. Hawakunipa mkopo tena maana waliona hii namba sio.Hizi microfinance huwa zime jaa utapeli....na wakikuona mjanjanja kuwazidi wao hawakupi
Nyingi tu mimi huwa naenda wananinyima ....yaani niamue kumtumia mtu ndio napataNakumbuka nilienda siku moja kwa ajili ya mkopo wa miezi 4. Wakanipa limkataba lirefu , wanataka u sign bila kusoma. Wakanijazia taarifa za uongo eti nina duka sijui Tabata. Wee niliwawashia moto nikawaambia nawapeleka BOT sasa hivi. Hawakunipa mkopo tena maana waliona hii namba sio.