Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
 
Katika miaka mitatu niliokaa xhuo xikuwah kuwa na demu... unajua kwann? Mademu walio wengi wamekaa kimbuzi mbuzi yaan...
kabisa mkuu chuoni hakuna mademu kabisa stori za vijiweni zilinidanganya
 
ukiwa Mr A katika masomo watajisogeza wenyewe, na wakati wa mitihani wengine watalala chumbani kwako kabisa.
 
Kama ulivyokuwa brainwashed na vitu vingine vingi pia... sio hayo tu. Umepotoshwa kwenye mengi mno. Mengine mpaka unaenda kaburini hautayajua...
 
Ungeenda chuo cha Ngono basi... Utafiti unasema Watu wanaopenda kulalamika lalamika bila sababu huwa hawana mawazo mbadala....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…