Nilidhani Afya ya Wakinamama wajawazito ingekua kipaumbele Kwa sasa

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa.

NB: Ama hamna pesa ya kuwahudumia Mama Wajawazito au wahudumu wa afya maslahi duni huku Viongozi wao wakila mema ya nchi. Hivyo kuvunja morali.
 
Watu wapo bize kuchota pesa.
 
Harafu ni ujinga na upuuzi kutumia mifano ya Watumishi wachache wasio waadilifu kuelezea kana kwamba Hali ni mbaya wakati sio kweli.

Toka kuundwa Kwa Tanzania hakuna awamu iliyotoa kipaombele Kwa Afya ya mama na mtoto kama awamu ya Samia.

Ukitaka ufukuzwe kazi chezea Afya ya mja mzito au mtoto.

Lakini pia Serikali imewekeza mabilioni ya hela kwenye miundombinu ,Madawa,vifaa tiba na Watumishi kwenye afya zaiis ya Trilioni 8, haijawahi tokea Kwa kipindi Kingine chochote kabla.

Kwa hiyo Ukiwa na akili ndogo usifanye uchambuzi
 
Kama ni kweli inasikitisha sana, hawa wamama ni wa kuwajali na kuwapa huduma bora Maana ndiyo wanaoifanya nchi iendelee kuwepo kizazi na kizazi.

Kuna baadhi ya nchi serikali inawabembeleza wanawake wazae Maana nguvu kazi inapungua Kwa kasi sana ,unakuta nchi wazee ni wengi kuliko vijana na watoto.
 
Aibu kubwa Sana. Atatoa mtu na TAMKO la UFAFANUZI badala ya kuchukua hatua
 
Harafu ni ujinga na upuuzi kutumia mifano ya Watumishi wachache wasio waadilifu kuelezea kana kwamba Hali ni mbaya wakati sio kweli.

Toka kuundwa Kwa Tanzania hakuna awamu iliyotoa kipaombele Kwa Afya ya mama na mtoto kama awamu ya Samia.

Ukitaka ufukuzwe kazi chezea Afya ya mja mzito au mtoto.

Lakini pia Serikali imewekeza mabilioni ya hela kwenye miundombinu ,Madawa,vifaa tiba na Watumishi kwenye afya zaiis ya Trilioni 8, haijawahi tokea Kwa kipindi Kingine chochote kabla.

Kwa hiyo Ukiwa na akili ndogo usifanye uchambuzi
Ukikua utaacha uchawa
 
Kipaumbele cha kwanza ni masuala ya wasanii kwanza

Ova
 
Jana nlikua na peruzi mtandao flani hivi nkakuta taarifa za mtu wa karibisa sana amefariki kujua kuuliza naambiwa alipoteza dami nyingi wakati anajifungua daaaah nliuumia sana this thing is serious killer
 
Harafu ni ujinga na upuuzi kutumia mifano ya Watumishi wachache wasio waadilifu kuelezea kana kwamba Hali ni mbaya wakati sio kweli.

Toka kuundwa Kwa Tanzania hakuna awamu iliyotoa kipaombele Kwa Afya ya mama na mtoto kama awamu ya Samia.

Ukitaka ufukuzwe kazi chezea Afya ya mja mzito au mtoto.

Lakini pia Serikali imewekeza mabilioni ya hela kwenye miundombinu ,Madawa,vifaa tiba na Watumishi kwenye afya zaiis ya Trilioni 8, haijawahi tokea Kwa kipindi Kingine chochote kabla.

Kwa hiyo Ukiwa na akili ndogo usifanye uchambuzi
Wee kweli eeh
 
Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa.

NB: Ama hamna pesa ya kuwahudumia Mama Wajawazito au wahudumu wa afya maslahi duni huku Viongozi wao wakila mema ya nchi. Hivyo kuvunja morali.
Haiwezi kuwa kipaumbele. Kipaumbele cha viongozi wetu ni makahaba.
 
Jana nlikua na peruzi mtandao flani hivi nkakuta taarifa za mtu wa karibisa sana amefariki kujua kuuliza naambiwa alipoteza dami nyingi wakati anajifungua daaaah nliuumia sana this thing is serious killer
Ulifanya japo kuchangia damu?
 
Back
Top Bottom