Watu wapo bize kuchota pesa.Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa.
NB: Ama hamna pesa ya kuwahudumia Mama Wajawazito au wahudumu wa afya maslahi duni huku Viongozi wao wakila mema ya nchi. Hivyo kuvunja morali.
Harafu ni ujinga na upuuzi kutumia mifano ya Watumishi wachache wasio waadilifu kuelezea kana kwamba Hali ni mbaya wakati sio kweli.Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa.
NB: Ama hamna pesa ya kuwahudumia Mama Wajawazito au wahudumu wa afya maslahi duni huku Viongozi wao wakila mema ya nchi. Hivyo kuvunja morali.
Kama ni kweli inasikitisha sana, hawa wamama ni wa kuwajali na kuwapa huduma bora Maana ndiyo wanaoifanya nchi iendelee kuwepo kizazi na kizazi.Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa.
NB: Ama hamna pesa ya kuwahudumia Mama Wajawazito au wahudumu wa afya maslahi duni huku Viongozi wao wakila mema ya nchi. Hivyo kuvunja morali.
Ukikua utaacha uchawaHarafu ni ujinga na upuuzi kutumia mifano ya Watumishi wachache wasio waadilifu kuelezea kana kwamba Hali ni mbaya wakati sio kweli.
Toka kuundwa Kwa Tanzania hakuna awamu iliyotoa kipaombele Kwa Afya ya mama na mtoto kama awamu ya Samia.
Ukitaka ufukuzwe kazi chezea Afya ya mja mzito au mtoto.
Lakini pia Serikali imewekeza mabilioni ya hela kwenye miundombinu ,Madawa,vifaa tiba na Watumishi kwenye afya zaiis ya Trilioni 8, haijawahi tokea Kwa kipindi Kingine chochote kabla.
Kwa hiyo Ukiwa na akili ndogo usifanye uchambuzi
Mara zote mkibabuliwa Huwa mnatafuta excuse za kipumbavuUkikua utaacha uchawa
Wanaamua kuwafanya wagonjwa ATMWatumishi maslahi duni.
Wanafanya siasa kwenye kila kitu.Wanaamua kuwafanya wagonjwa ATM
Wee kweli eehHarafu ni ujinga na upuuzi kutumia mifano ya Watumishi wachache wasio waadilifu kuelezea kana kwamba Hali ni mbaya wakati sio kweli.
Toka kuundwa Kwa Tanzania hakuna awamu iliyotoa kipaombele Kwa Afya ya mama na mtoto kama awamu ya Samia.
Ukitaka ufukuzwe kazi chezea Afya ya mja mzito au mtoto.
Lakini pia Serikali imewekeza mabilioni ya hela kwenye miundombinu ,Madawa,vifaa tiba na Watumishi kwenye afya zaiis ya Trilioni 8, haijawahi tokea Kwa kipindi Kingine chochote kabla.
Kwa hiyo Ukiwa na akili ndogo usifanye uchambuzi
Haiwezi kuwa kipaumbele. Kipaumbele cha viongozi wetu ni makahaba.Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa.
NB: Ama hamna pesa ya kuwahudumia Mama Wajawazito au wahudumu wa afya maslahi duni huku Viongozi wao wakila mema ya nchi. Hivyo kuvunja morali.
Ulifanya japo kuchangia damu?Jana nlikua na peruzi mtandao flani hivi nkakuta taarifa za mtu wa karibisa sana amefariki kujua kuuliza naambiwa alipoteza dami nyingi wakati anajifungua daaaah nliuumia sana this thing is serious killer
kwa huyu hapana sikua na fahamu changamoto aliokua anapitiaUlifanya japo kuchangia damu?