Nilidhani huyu mwenye umri mkubwa atakuwa wa tofauti lakini wapi...

Nilidhani huyu mwenye umri mkubwa atakuwa wa tofauti lakini wapi...

ConsciousMan

Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
58
Reaction score
70
Hapa karibuni niliingia kwenye mahusiano na dada mmoja wa makamo hivi, alikuwa kwenye miaka 43+ na mimi kwenye 25+.

Before hatujaanza kudate aliniuliza kwanini nimeamua kumpenda mwanamke kama yeye ilhali ni mkubwa mno kiumri kwangu.

Kwa kweli nikamjibu kuwa nimechoka na drama za girls of my age. Mambo ya calling all the times, wivu kupindukia, kuomba omba hela, kuzungushwa kwenye gem ndo moja ya vitu vilivyonichosha.

Akanielewa na akaridhia ombi langu.

Lakini cha ajabu penzi lilipokolea, na yeye akaanza kufanya the very same things ambavyo girls on my age wanafanya. Things like wivu sana, usipopokea on time simu anasema unamcheat, ukichelewa kujibu text anakasirika eti unachat na mchepuko and staffs like that.

Je, guys ni kweli hata mwanamke awe mkubwa vipi hizi drama huwa ni ngumu kuziacha?
 
mkuu kwani umeambiwa mwanamke akienda age anabadilika na kuwa mwanamme???????

au umeambiwa wale wapenda drama za wivu and the stuffs wakienda age wanaacha hizo mambo?

hata huyo bi mkubwa wako aliwahi kuwa ka hao wasichana unaowaita wa age yako kwa sasa

plus uwe na aibu kidogo jamani tofauti ya miaka 17 sio mchezo ujue inahitaji roho ngumu sana kufikia maamuzi kama hayo

Em kaa utulie ujitafakari na wewe
 
Malengo yako ni yapi hasa ya kuwa na huyo wa kukuzidi umri?
 
Back
Top Bottom