GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafuta neno la Kiheshima ukisema Kutanua unamaanisha Kwingineko kabisa ambako bila Kutanua Chuma hakipenyi.Goalkeeper ameshindwa kujitanua
Hivi Offside inakuweko katika Piga Nikupige kama ile? Kwahiyo Refarii alitaka yuko Mchezaji awe wapi ili asiwe Offside?Offside ile yule mchezaji aliekua golini alihusika na mpira kwa kumziba kipa kuucheza mpira na pia alionekana kama anaukwepa mpira
Gapko alikua pembeni kabisa wala hakuwa usawa wa kipa halafu kipa alikua mbele yake kidogoOffside ile yule mchezaji aliekua golini alihusika na mpira kwa kumziba kipa kuucheza mpira na pia alionekana kama anaukwepa mpira
Uchambuzi wa Kimahaba na Chuki kwa Netherlands na Kuipendelea France kwakuwa ina Mbappe ambaye unampenda.Unapokuwa kwenye offside position usifanye namna yoyote itakayopunguza ufanisi wa wachezaji wengine. Lile shuti makila kibao huyarukia na kuudaka au kuupangusa ila uwepo wa mchezaji wa timu pinzani umefanya kipa asiwe huru.
Sawa Rais wa FIFA ya JamiiForums.Sheria ya offside ni namba 11 katika zile 17
Ina taarifa ndogo ndogo nyingi ambazo watu hawana. Kwenye mitihani kukiwa na mitego ndio Huwa wanapata wanafunzi wachache
Ni wewe au mwingine!?Kuanzia leo nitaacha rasmi Kuwalaumu Marefa wa Afrika kwa Kuvurunda kwa Kupendelea katika Ligi zetu na Mashindano yetu mbalimbali kwani kumbe huu Ugonjwa Sugu wa Marefa hauko tu Afrika na kwamba hata Ulaya kwa tunaowaamini nao uko?
Naomba kujua tatizo la Goli la Netherlands ambalo Kwangu Mimi GENTAMYCINE na kwa Utaalam wangu naona ni Goli halali kabisa. Sasa naanza kuamini kuwa Waamuzi wengi na wale walioko katika VAR huenda kweli wakawa ama Wanabeti au huwa na Chuki na Wachezaji fulani wa Timu Kubwa Kubwa.
Netherlands wameonewa na wamenyimwa Goli lao halali kabisa.
Inashangaza sana. Mtu anaandika kuhusu michezo jukwaani na bado ile offside inamtatiza? Na bado anajiita mtaalamu. That was a clear offside. He interfered with play, by affecting the golie's mobility, visibility and accessibility.Kama hujaona kosa bora ushabikie rede tu mtalaam uchwara