Nilidhani wanaume wa dar huwa wanasingiziwa ila jana nimejionea mwenyewe

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Ni hivi, jamaa ( mwanaumee wa dar) aligundua mke wake anacheat na akaamua kumfukuza. Mwanamke akawa mpole na kuomba msamaha huku akimpiga. Mwisho wa siku akamfukuza mwanamke kwa matusi ya ajabu ( matusi ya wanaume wa dar).

Kesho yake, mwanamke akarudi kumwangalia mwanaye na kumuomba tena jamaa ( mwanaume wa dar) amsamehe kwa upole na unyenyekebu. Ila jmaa alidinda nakutaka kuendelea kumfukuza. Mwanamke akabadilika na kuwa kama paka aliyefungiwa chumbani na adui. Kipondo kikahamia kwa mwanaume. Kapigwa mpaka kaanza kuomba msaada kwa majirani. Mara katoka mbio, mwanamke kamfata na kumkamatia getini ili asiondoke.. katika purukushane za kipigo akaweza tena kutoroka , akatoka mbio huku akisema.." sirudi tena na hutakuja niona".

Mpaka sasa hajarudi kwake.
Hii inasikitisha sana, unachetiwa, unapigwa wewe alafu unafukuzwa kwako!!!!!!
 
Aisee!!
 
Aisee, imekaa vizuri, umeweka na mchaichai unaolimwa kule Hale Tanga?
 
Bado vitafunwa. ....usisahau kuweka na mchai chai tangaWizi na hiriki
 
You see!!!
tapatalk_1562569559082.jpeg
 
Ni hivi, jamaa ( mwanaumee wa dar) aligundua mke wake anacheat na akaamua kumfukuza. Mwanamke akawa mpole na kuomba msamaha huku akimpiga. Mwisho wa siku akamfukuza mwanamke kwa matusi ya ajabu ( matusi ya wanaume wa dar).

Kesho yake, mwanamke akarudi kumwangalia mwanaye na kumuomba tena jamaa ( mwanaume wa dar) amsamehe kwa upole na unyenyekebu. Ila jmaa alidinda nakutaka kuendelea kumfukuza. Mwanamke akabadilika na kuwa kama paka aliyefungiwa chumbani na adui. Kipondo kikahamia kwa mwanaume. Kapigwa mpaka kaanza kuomba msaada kwa majirani. Mara katoka mbio, mwanamke kamfata na kumkamatia getini ili asiondoke.. katika purukushane za kipigo akaweza tena kutoroka , akatoka mbio huku akisema.." sirudi tena na hutakuja niona".

Mpaka sasa hajarudi kwake.
Hii inasikitisha sana, unachetiwa, unapigwa wewe alafu unafukuzwa kwako!!!!!!
Hearsay , visasili.
Hongera kwa utunzi mubashara
 
Back
Top Bottom