Huku Tanzania kijani kunameremeta kule Uganda ni full njano. Uganda wamekuwa wakimlalamikia Museveni wakidai hawamtaki sasa hao waliokusanyika hapo wametoka wapi au wamesafirishwa?
Huku Tanzania kijani kunameremeta kule Uganda ni full njano. Uganda wamekuwa wakimlalamikia Museveni wakidai hawamtaki sasa hao waliokusanyika hapo wametoka wapi au wamesafirishwa?
Kumkataa Ali, Hamisi au Bakari itakuwa ngumu kufikia kwenye Malengo yetu..., Cha maana ni kukataa Matendo....
By the way kinachoongea ni Ukwasi na Njaa mpaka pale watu watakapokosa Hope..., until then ni mwendo wa watu kuangalia wanapata nini and to hell with the other.... Ukizingatia Hakuna Imani tena na Wanasiasa ila kuna Imani na unachopewa at any given time (leo na sio kesho)