Mimba unataka kuzuia mwenyewe au mnazuia wote?Za siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
usikute alijiamulia mwenyewe ndio problem ilipoMlishawahi kunitumia kabla?
Za siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
Awamu hii utakoma ubishi wako, tulikusihi ujiunge na kundi la wakataa ndoa wewe ukaivagaa ndoa kwa pupa ukidhani ni tamu mithili ya sukari.
Nani alianza kuzipata ? Kama yeye ndio aliyeaanza kuziona hapo usitafanye sisi na huyo mke wako watoto wadogo 😂😂Za siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
Kama ni utaratibu mpya ambao uliamua kuuanzisha bila kumshurikisha mwenzio itabidi ujipange sana kwenye kunyoosha maelezo.Za siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
Za siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
Kama ni utaratibu mpya ambao uliamua kuuanzisha bila kumshurikisha mwenzio itabidi ujipange sana kwenye kunyoosha maelezo.
Ila kama huwa mko na utaratibu huo basi atakuelewa tu mkuu, just mpe muda tu
Mwambie yuko sahihi, halafu sikiliza atasema nini next, atakachoamua kubali pia usipinge. Endelea na maisha.Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.