Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitoa humu humu unaleta hapa tenaa humu vilaza wengi ipo kwenye jamii jokes na utani we mleta uzi ni bagada
HahaaaaaaKumbe bado nahitaji kozi ya miaka maana Jana usiku wa manane nilisikia kwa jirani miguno ya mahaba Mara mvunjiko wa chaga!! Kisha nikasikia baby panda tena dirishani fanya Kama unaidondokea!!!!!!
likivunjika unatafuta jingine hasara roho.Sasa hiyo ndio inaitwa popo kanye mbingu..
Haitakiwi uwe na dushe lefu sana litavunjia