Nilikuwa nasoma jarida moja la Kenya juzi,leo nikakutana na kisa kile kile kwenye jarida la Drum,kisa chenyewe ni kuwa,mabinti na wanawake huwatosa wanaume ambao jamii inawaona mahandsome kwa kuhofia kutokuwa peke yao kwenye mahusiano na wanaume hao kama vile wanaume wanavyowaogopa wanawake wenye sura na maumbo yanayodaiwa na jamii kuwa mazuri.Sijajua kama na hapa Tanzania ni hivyo hivyo!Hebu wanaume na wanawake mseme kuhusu hili!
mbona nafukuzia mademu wazuri siwapati au na mm handsome nn.....1
Mbona mimi sio handsome lakini siwapati kivile..................
Au ulikuwa unamaanisha...........Handsomemoney?