Nilifikiri niko ndotoni- kumbe nabakwa na housegirl

jamani jamani tupeleke mswada bungeni au katiba mpya iwanusuru ma housegirl duuh kwa halii hiii!
 
Ushindwe katika jina la yesu fwezuli nyinyi halafu mnasema serikali wezi wakati hamfanyi kazi mnapiga storiii pambafuuuu
 
Ushindwe katika jina la yesu fwezuli nyinyi halafu mnasema serikali wezi wakati hamfanyi kazi mnapiga storiii pambafuuuu

watu wengine bwana,kwani lazima ucomment,kama mada haikuhusu chapa rapa na si kutukana watu hapa,she.nz type
 
Du halafu hao vijana ni kiboko, yaani wanalala huku wameshakoki mashine!!
 

Ok ni story. Lakini angekuwa aliyefanya hayo ni mkeo, ingenoga haswaaaaaa. Ila kwa house girl hizo ni fikra za kifusika na unyanyasaji wa watoto wa watu. Nazikemeea zishindwe kwa Jina la Aliye Hai.
 
hivi kuna uwezekano maungo ya kiume yakawa ngangari pasipo mtu kuwa na ufahamu(akiwa usingizini)?

Kama una mume au boyfriend mjaribishe akiwa usingizini, hapo utapata jibu.
 
Ushauri wangu simple: Nyumba yako imevamiwa na Ibilisi wa ngono, kemea, na jiepushe, ni hatari kwa maisha yako ya kiroho!!

Kweli Mama mdogo dunia imearibika.. kuweni makini na mahouse girl.
 
Ushindwe katika jina la yesu fwezuli nyinyi halafu mnasema serikali wezi wakati hamfanyi kazi mnapiga storiii pambafuuuu

Yaani mimi inanisikitisha kweli... yaani vijana hawafanyi kazi..wao siku nzima ni kwenye JF na facebook tu.
 
watu8;4164325]hivi kuna uwezekano maungo ya kiume yakawa ngangari pasipo mtu kuwa na ufahamu(akiwa usingizini)?[/QUOTE]

mh ki2 hcho akipo kbsa kaka. Jarib kufikir upate majibu binafsi
 
mambo ya beki tatu nayo yanachekesha kweli. Huwa hawana woga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…