Nilifundishwa mapenzi na mtoto wangu

Hahaha hivi nyi wenzangu guts za kuandika komedi hivi mnazitoa wapi?
 
Maisha bhana enzi hizo miaka ya 1980 mwanzoni nko primary tunarudi home kupiga msosi saa 6 then tunarudi shule hadi saa kumi sasa siku zingine unakuta msosi hakuna au kuna uji tu acha kabisa ndio maana sina huruma kabsa na kuku lazima nipige kufidia
ahahahahaha tulage tu mkuu
 
baada ya kusikia pesa ya kwenda kununua bagia ikabidi ukubali kula mzigo
 
ahaha afu nilivyo fahamu mambo nimetoa bikira nyingi kitaa kwetu
Yeah nilitaka nikuulize hili swali naona limeshajibiwa
Shetani alikuwa anatengeneza vessel ya kutumia kwa uharibifu wa makumi ya wasichana, maana wengi waliohujumiwa kingono wakiwa watoto na ndugu au watubaki hufanyika mlango wa maangamizi ya kingono kwa wengine.
So kwenye ulimwengu wa kiroho unakuwa kama umevishwa roho fulani chafu ili kuharibu wengine.
(Nilitaka nikuulize je kuna tabia yoyote kingono isiyo njema kwako.)
 
Watu wengi wana dark story wengine hufanikiwa kuificha mpaka mwisho wa maisha yao lakini wek mua kufungungine huamua kufunguka
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Kwa hiyo unataka kusema mwaka 2007 tayari ulikuwa fundi wa kuzama chumvini ?. Kwamba hivyo vitu 2007 vilishakuwa common kama vilivyo sasa?

Kingine hongera sana kwa kuamua kuja na ID nyingine kufungua huu uzi baada ya kuona ile comment yako kwenye ule uzi wa yule jamaa wa kada ya afya akilalamika kuwa dada yake( mtoto wa Mjomba/Shangazi) amekuwa akimuonesha dalili za kutaka kuchakatwa.
 
UTI siyo STD haiambukizwi kwa ngono...
 
Aisee itabidi hawa wanaume zetu tukisikia huyu dada angu anapiga tuongope/ huyu sijui dada angu kabisa kaja kukaa week hapa
Tujue kabisa tunakaa na wake wenzetu. Kwa mtindo huu mawifi hawawezi kutupenda
 
Hivi mtu akiibiwa atakuwa amevishwa roho ya wizi. Akivamiwa anakuwa amevishwa roho ya ujambazi, akiuawa atakuwa amevishwa roho ya mauaji. Nyie mnaowatisha watu kwa kujifanya kuujua ulimwengu wa roho tusipokuwa makini mtatuyumbisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…