Nilifundishwa mapenzi na mtoto wangu

Kwakifupi ulikua unabakwa na mwanao wa kike
 
Hii kitu nilitaka kukushauri umpelekee Vicent Kigosi na Blandina Chagula wa RJ Productions ila hapo kwenye maumbile makubwa ya kiume naona itakuwa changamoto,labda iwe maalum kwa wanaonzia +18.
 
Hivi mtu akiibiwa atakuwa amevishwa roho ya wizi. Akivamiwa anakuwa amevishwa roho ya ujambazi, akiuawa atakuwa amevishwa roho ya mauaji. Nyie mnaowatisha watu kwa kujifanya kuujua ulimwengu wa roho tusipokuwa makini mtatuyumbisha sana.
Jifunze basi kuhusu kitu halafu upingane kwa hoja
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…