Niligundua ni bora kuongozwa na Sukuma gang kuliko CHADEMA

Niligundua ni bora kuongozwa na Sukuma gang kuliko CHADEMA

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Misimamo ya Sukuma gang ipo wazi Demokrasia sio kipaumbele ni kazi tu

CHADEMA hawana chochote wanachosimamia ,haijulikani wanapinga ufisadi au la

JamiiForums-72271314.jpg~2.jpg
JamiiForums-2089014366~2.jpg
 
Bila hata kutumia common sense...

Chadema ni machawa ya CCM, tena ile ya kina Kikwete et el...

Hapa ndipo hua namsifu Kikwete...

Kidogo Lissu hujitofautisha...
 
Kutika kesi za CAG, walio ainishwa wote wanatokea CCM , je waliwahi kuwajibishwa? Kwa hiyo tuiichague Ccm maana wahusika wako hadi bungeni na hawashtakiwi?
Sasa watatokaje CHADEMA ?
 
Back
Top Bottom