arudi hapa sasa hv maana matunzo yake hutoyaweza huyo asubui anakunywa juice nasoseji kumiasante sana ewe binti mrembo, nashukuru kwa maua yako na hata huyo ulomtuma ayalete,
nina swali nataka uliza na jibu pia natarajia, naweza baki na mletaji au kwako tena nimlete?
kama unamuweza baki nae tuusijali maana wanasema ukipenda ua penda na boga lake, ntampa juice soseji 20 ili mradi niendelee kuwa na kumbukumbu hii njema
Unaye mwingine kama huyo unipatie na mimi?kama unamuweza baki nae tu
Unaye mwingine kama huyo unipatie na mimi?
yaani Bebii,kichwa chako unakijua mwenyewe!