saidikobelo
Member
- Oct 28, 2018
- 75
- 25
Nasikitika kuona vijana wengi wa karne hii ni shida ukiwaangalia kwenye mitandao wanaonekana wako vizuri ukikutana naye uso kwa uso mkazungumza mawili matatu unagundua ni zilo maana ya mitandao ni mawasiliano kinacho tokea wengi hawajui chochote juu ya mahusiano ya kwenye mtandao nimetoa Mada ya Mchumba nikapokea cm nyingi zaidi ya 14 nikafanya tafiti za kuwajua wanajificha hawataki kuwa wazi wanakimbilia kuomba pesa ndogo ndogo tathimini hii itanisaidia kwenye kazi yangu ya ufundishaji wa study binafsi vijana amkeni mambo mnayoyafanyia mzaha leo kwenye mtandao na kucheza na namba za cm kwenu mnabugi mnafikiri ni muda mzuri lakini mnachelewa wasichana wanalipiza visasi wale waliopachikwa mimba na kutemwa wamehalibika wamekuwa waizi wanaona kila mwanaume nikama boyfriend aliyepita nawapa pole hawa mnaowaibia mambo yao yanasonga mbele ninyi mnahangaika kuiba nini sasa mnafanya jitahidini kubadilika unayemuona kwenye mtandao usimdharau humjui fika kwake kicha uchukue maamuzi acha ujinga elimika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app