nilijaribu kupotea jf ili na mimi niuliziwe kama mshana lakini waapi

nilijaribu kupotea jf ili na mimi niuliziwe kama mshana lakini waapi

hauna cha kukumbukwa kama mimi tu
hata nikifa sitauliziwa
 
Anzisha mada za mashiko pia uwe unachati sana na mademu wa JF utauliziwa tu endapo ukikaa wiki Bila kulogin.
 
kuwa kigagula utashine sana! kila muda utauliziwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyota yako changa
 
Hivi kama Mutu a.k.a member akiaga Modes watajuaje ili wawajulishe members wenzake watoe R.I.P?
 
1480613032124.jpg
 
Back
Top Bottom