Haya no way... Ulikuwa wapi mkuu??inaniuma sana hii kitu
Jifunze ndumba na wewe Nyota yako ing'ae.inaniuma sana hii kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] I love JF.ungenitumia pm ila nianzishe uzi wa kukualizia ndio mbinu inayotumika ukiona mtu kauliziwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa umeshindwa hata kujiulizia kwa ID nyingine [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa umeshindwa hata kujiulizia kwa ID nyingine [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hapahapa bongo....nililog out na nikawa nachungulia chit chat ili nione kama kuna mkuu yeyote ataniulizia.....lakini mmmmhHaya no way... Ulikuwa wapi mkuu??