Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa CCM inaandikisha wanafunzi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Wandugu, as long as hao wanafunzi watakuwa wamefikisha umri wa kupiga kura wakati wa uchaguzi hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, ni haki yao kupiga kura.
Mbali na mashuleni, CCM wanafanya kweli, wanapita mtaa kwa mtaa kuhamamasisha wanachama wao kujiandikisha na kwenda kupiga kura siku husika. Hawana muda na mbwembwe za mitandaoni.
CCM wako very serious na uchaguzi wakati wale wenzangu na mie wako bize mitandaoni. Yaani hizi siku mbili tatu ndio kama wameanza kuamka.
Soma Pia: Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe
Sijui CHADEMA mtajifunza lini, hauwezi kupata matokeo makubwa kama maandalizi yako ni hafifu! Mnaenda kupigwa kipigo cha mbwa mwizi uchaguzi huu. Na yote mmejisababishia wenyewe.