M Masunga Kiteleja New Member Joined Jul 17, 2021 Posts 2 Reaction score 0 Sep 23, 2026 #1 Wadau naomba kuuliza swali, hivi kitambulisho Cha NIDA kinachukua muda gani mpaka kutoka maana tangu 2019 nilipojiandikisha nimefuatilia kukipata naambiwa niendelee kusubiri hakijatoka Soma pia Nilijiandikisha NIDA Ifakara mwaka 2019 mpaka leo sijapata kitambulisho, nimezungushwa hadi nimechoka Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie Nimekosa kibarua kisa kitambulisho cha Taifa. Ni Mwaka wa nne sijapata kitambulisho cha NIDA
Wadau naomba kuuliza swali, hivi kitambulisho Cha NIDA kinachukua muda gani mpaka kutoka maana tangu 2019 nilipojiandikisha nimefuatilia kukipata naambiwa niendelee kusubiri hakijatoka Soma pia Nilijiandikisha NIDA Ifakara mwaka 2019 mpaka leo sijapata kitambulisho, nimezungushwa hadi nimechoka Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie Nimekosa kibarua kisa kitambulisho cha Taifa. Ni Mwaka wa nne sijapata kitambulisho cha NIDA
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Sep 23, 2026 #2 Watakua wanawasiwasi na uraia wako