Pole man!
Bado asili ya uongozi na tawala zote duniani katika mataifa yote ni chini!!?chini!?Ardhini!!!!sio mbinguni!!sijui unanielewa!!!?
Yaani,kiroho Kuna ardhi Tisa kwenda chini na kila ardhi Ina viumbe vyake,Sasa hapo ardhi ya kwanza kuzimu au akhera ndipo tawala nyingi zinapotolewa Kwa mtu,yaani Marais wote huenda hapo kuzimu kavu ardhi ya kwanza na kuomba ridhaa ya kutawala huku juu na hupewa masharti na mojawapo ni umwagikaji damu aidha ya mnyama au MTU au watu kama sadaka!!
Sijui umenielewa comrade!!mfano Kuna RC mmoja alienda hapo kuomba nafasi ya UPM na alivyorudi juu yaani huku kwetu akachinja ng'ombe 200 kama sadaka ya shukrani au kafara aliyoamriwa!!Sasa tusubiri kama atateuliwa na kuwa pm!!
Sasa
Mama yetu kamwaga damu,coz upinzani ni mkubwa kwake yawezekana ilibidi damu iliyomwagika iwe ndio kafara ya yeye kupata hicho cheo alicho nacho!!
Ni kafara ya damu ndio imempa u namba Moja kama fidia ya kutokukubalika kwake!!
Kafara kwa maagizo Toka ardhi ya Kwanza!na hiyo damu ndio itakua chanzo Cha mageuzi makuu yajayo!!
Tusubiri!!