GE2025 Nilijiona mbabe wa kuangalia Horror movies, ila haya yamenishinda

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kyela mji mzima wamebaki wanawake tu ,Huyu Malaya wa kizimkazi atakunywa damu za watanganyika mpaka tuishe . Kilichofanyika ni genocide na yanayoenda kutokea awamu hii ya huyu mshenzi kila MTU ataguswa na uovu wa hii regime ya hawa vibaka .Ninyi wapumbavu mnaoamdika ujinga humu kusifu huu uhayawani hamko salama , kina zamu yenu inakuja ,mtalia na kusaga meno kmamayo zenu
 
Samia na Kikwete walileta wauaji wakatili sana Kikosi cha KMKM na Mazombi kutoka Zanzibar, Waasi wa RSF kutoka Sudan na mamluki kutoka Uganda,
Mungu amlaani huyu mwanamke na bwana wake.
 
Mkuu nakumbuka ule msemo wako kuelekea October ukisema " October 29 unatiki, kazi na utu"
 
Dah! Inaumiza sana aisee
 
hizo video na picha zitumeni ICC moja kwa moja kwa link hii https://otplink.icc-cpi.int/
 
Niliyoyaona yametosha, ni ukatili zaidi ya ule ambao akili na moyo wangu vinaweza kuuhimili 😔😰
Chozi lilinitoka kiukweli, tunampandisha mtu bajaji baada yakutandikwa ya mguu, akapigwa mwingine tena eneo lake la kazi la kufyetua matofali alikuwa anaendelea na kazi...hatari sana kwa wale ambao walishuhudia kilichokuwa kinaendelea tena live mtaani..Ubungo ndo kulikoanzia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…