GE2025 Nilijiona mbabe wa kuangalia Horror movies, ila haya yamenishinda

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waliokuwa wanayafanya kwa ustadi utadhani walishawahi onja mauti wakarudi
 
Kwahiyo akhera siyo mbinguni bali ni kuzimu?
 
Kauli mbiu ni nzuri sana nimeipenda lakini utekelezaji wake Sasa!!

KAZI na utu,tunasongambele!!

Utu haujaonekana kabisa!

Ngoja tuone toba yao itakua ni ipi hasa!
Kwa wazanzibari kuua kwa ajili ya madaraka kwao wanaona ni jambo la kawaida kabisa,
Huyu bibie sidhani kama anajuta moyoni wala utayari wa kutubu kwa Muumba wake juu ya yaliyotekea
 
Nimeangakia aiku lala asse
 
Mimi mpaka moyo unaenda mbio,
Zuu wangu acha tu Wallahi yaani jana nimelala na mang'amu ng'amu mpk asubuhi naogopa
Nawaza hivi uongozi huu wa duniani?ndio hviii mpk mtu anaua?
 
Kwa ufupi tu Shetani Samia kutoka KUZIMU-KAZI kafanya unyama ambao hata madikteta maarufu wenye roho mbaya duniani Kama Adolf Hitler,Agusto Pinochet na Mabutu Seseseko hawakuwahi kuufanya.

-Unaua mpaka mama mjamzito anajitokea zake clinic wala hata hana habari na maandamano?

-Unaua mpaka watoto wadogo wamelala zao ndani hawana hata habari na kinachoendelea nje?

-Unaua mpaka madaktari ambao hasubui yake walitoka kukupigia kura kama asante ya wewe kuwapa ajira?

-Unaua mpaka walimu ambao ndio wafuasi wa kudumu wa chama chako?

-Unaua watu wamekaa kwenye viranda za majumbani kwao wala hawana habari na maandamano?

Huu ukatili alioufanya shetwani samia, hakuna binadamu mwingine anayeweza kuufanya....

....Nadhani hata wengi wa watanzania wanaomsapoti huyu mtu yapaswa wajitafakari sana kma akili zao ziko sawa sawa kumsapoti binadamu huyu ambaye nafsi yake sasa inanuka maelfu ya damu za watu wasiokuwa na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…