Nilijojifunza katika mazishi ya mama yake Halima Mdee - namimi nikifate

Umetoa hadithi tu,Aya aah!!
 
Nilichogundua asilmia kubwa ya mafundishi ama qurani, ni copy and modify ya agano la kale la biblia... anayekubaliana nami agonge like... , zingatia kuwa uislam umekuja miaka mingi baada ya Kristo
 
Pesa na dhahabu ni mali ya Bwana,Mungu hsitaji kutolewa sadaka,ni bora kusaidia wahitaji kuliko kuwapa masheikh na wachungaji/mapadre
Masheikh hawali sadaka,walaji sadaka hao wengine,wamenona Kama nguruwe mzazi,hata kutembea tabu
 
Alikuwa Mkristo safi,Sala kila wakati.
 
Sadaka bila matendo mema ni bure kabisa. Mungu (kwenye dini zote) hahongeki. Ukiwa mtenda mabaya kama kufisadi, kuua, kuteka, kuiba, kuzini nk, hata utoe mabilioni ya dola ni bure. Unatakiwa uache dhambi kwanza ndiyo utoe sadaka.
Kutoa sadaka ni tendo,Tena tendo jema sana
 
Nilichogundua asilmia kubwa ya mafundishi ama qurani, ni copy and modify ya agano la kale la biblia... anayekubaliana nami agonge like... , zingatia kuwa uislam umekuja miaka mingi baada ya Kristo
Ujumbe wa manabii ni mmoja,ndiyo maana yule mwamba alisema hakuja kutangua taurati,Mungu ni yuleyule Ila tu ujumbe wake huko nyuma wamba wakautia mikono kuweka yao,ndiyo unakuta Paulo anajisifu kutunga uwongo
 
Sijakataa. Ila nimesema sadaka bila matendo mema ni bure.
Matendo mema yapi wakati sadaka nayo ni tendo jema!?..ulivyo-potray ni sadaka siyo tendo Bali kwenda kubweka kanisani toka asubuhi Hadi jioni ndiyo tendo
 
Matendo mema yapi wakati sadaka nayo ni tendo jema!?..ulivyo-potray ni sadaka siyo tendo Bali kwenda kubweka kanisani toka asubuhi Hadi jioni ndiyo tendo
Matendo mema ya maisha. Usiibe, usiue, usizini. Haya matendo NI LAZIMA yaepukwe, hakuna mjadala. Unaweza usitoe sadaka lakini ukatii haya, na ukapata neema lakini huwezi kutotii na kutoa sadaka halafu ukapata neema.
 
Matendo mema ya maisha. Usiibe, usiue, usizini. Haya matendo NI LAZIMA yaepukwe, hakuna mjadala. Unaweza usitoe sadaka lakini ukatii haya, na ukapata neema lakini huwezi kutotii na kutoa sadaka halafu ukapata neema.
Kutokuzini,kutokuua,kutokuiba siyo matendo,Bali kuiba,kuzini,kuua ndiyo matendo,kutoa zakka,sadaka,kuswali,kusaidia watu,kulima,kula hayo matendo
 
Masheikh hawali sadaka,walaji sadaka hao wengine,wamenona Kama nguruwe mzazi,hata kutembea tabu
Nyama ya nguruwe ya kurost ni tamuuuuu balaaaa
Karibu
 

Attachments

  • IMG-20240803-WA0012.jpg
    51.2 KB · Views: 2
Mtume Muhammad (SAW) alisema: "Sadaka inafungua milango ya baraka na neema. Mtu ambaye anatoa sadaka, Allah humbariki na mali zake na hutuliza dhiki zake." (Bukhari na Muslim)
Muhamad na allah.... Ha ha ha....
 
Kuna takataka lililojiondoa kwenye imani ya dini litakuja kuwaponda!
 
Waislam wakisikia Kuna kutoa sadaka msikitini na ibada inaishia hapo,kila mmoja anaondoka zake.
 
Wakristo ni watoaji sana hasa zaka na matoleo,na hili liko wazi.Nawapa mfano.
Kuna mtoto wa kiislam aliomba achangiwe pesa Ili aweze kwenda form one maana alifanya vizuri mtohani wake wa kumaliza darasa la Saba.Alishauriwa aende katika ofisi ya kata Ili asaidiwe.Alipofika katika ofisi ya kata akaambiwa ofisi haina pesa bali alishauriwa apewe barua ya utambulisho Ili akaombe kwenye taasisi zingine kama kanisani na msikitini.Kwa kuwa alikuwa muislam alipewa barua Ili aende Kwa imam wa msikiti wa katikati ya Jiji.Alipofika akapokelewa vyema na imamu wa huo msikiti akaeleza shida yake juu ya kuchangiwa pesa za kuanza shule (form one) akaaidiwa arudi ijumaa siku ya Ibada maana Ilikuwa jtano.Ilipofika ijumaa akaenda msikitini kama alivyoaidiwa na imam.Imam aliendesha ibada baada ya kumaliza akaeleza shida ya mtoto Kwa waumini.Kabla ya kumaliza kuwaomba waumini robo tatu ya waumini walikwishaondoka akabakia watu wachache sana.Hao waliobaki walichanga kiasi Cha Tshs 28,500/-
Mtoto akakabidhiwa hizo fedha.
Mtoto huyo alirudi katika ofisi ya kata akamwambia mtendaji wa hiyo kata kuwa msikitini walimchangia Tshs 28500/- tu hata viatu vya shule hazitoshi.Mtendaji akaandika barua Kwa paroko wa kanisa kubwa hapa mjini.Mtoto akapeleka hiyo barua Kwa paroko bahati mbaya hakumkuta, alimkuta msaidizi wake akampa hiyo barua. Msaidizi wa paroko alimpatia shs 10,000/ pale pale.Akamwambia afike jpili wakati wa Misa watawashirikisha waumini watamchangia.Ilipofika jpili ibada wakati inaisha waliwashirikisha waumini kumchangia mtoto huyo.Kila mmoja aliguswa Kwa namna yake hadi mwisho mtoto huyo aliondoka na Tshs 842,000/ kutoka Kwa waumini wa kabisa hilo na Padre aliwashukuru sana Kwa kujitoa kwao Kwa mtoto wao.Akasisitiza zaidi Kwa mkristo anatakiwa kutoa zaidi kuliko kupokea.

Kutoa Kwa wenye uhitaji ni muhimu kuliko kwenda Kanisani au msikitini.
 
nadhani alikuwa muislam, maana yake kwa wakristo, zaka ya 10% hawapewi masikini, wanatakiwa kupewa wale wa madhabahuni, ndio mshahara wao. kwahiyo hapo alitupa tu pesa zake.
Hahahaha aisee shida ni kutojua maandiko hali inayopelekea kusema yesu ni mungu mara miungu wapo watatu
 
Hahahaha aisee shida ni kutojua maandiko hali inayopelekea kusema yesu ni mungu mara miungu wapo watatu
kwahiyo maandiko yako wewe yanasema zaka inatolewaje? unajipangia namna ya kutoa, unafikiri unamsaidia Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…