Wakuu,
Mwanzo nilidharau siasa za nchi nyingine Afrika Mashariki, nikajiaminisha kuwa Kenya ndiyo wana siasa safi kuliko wengine, lakini nilipotea njia kabisa.
Kumbe Kenya inasiasa za Kiafrika, zilezile kama wengine. Hazifai kuigwa na nchi nyingine zisijifunze kabisa aina ya siasa za Raila za vurugu na fujo hazifai kuigwa.
Juzi tu uchaguzi, leo maandamano hata hawaeleweki wanataka nini na hawataki nini! Nchi nyingine fanyeni siasa za kisasa za kujali utu wa wananchi wenu, siasa za demoghasia kamwe nchi haiwezi kuendelea hata siku moja.