Kuna wakati chama tawala kina fanya mambo mazuri kinakua na kasi kubwa sana mpaka wapinzani wanahisi kuonewa.. waulize chadema[emoji1787] Agenda yao imebaki kwa Azory gwanda, Ben saanane.. sijui naninani.. Raila anahofia kasi ya Samoye Ruto. Ni haki yao kikatiba kuandamana.Wakuu,
Mwanzo nilidharau siasa za nchi nyingine Afrika Mashariki, nikajiaminisha kuwa Kenya ndiyo wana siasa safi kuliko wengine, lakini nilipotea njia kabisa.
Kumbe Kenya inasiasa za Kiafrika, zilezile kama wengine. Hazifai kuigwa na nchi nyingine zisijifunze kabisa aina ya siasa za Raila za vurugu na fujo hazifai kuigwa.
Juzi tu uchaguzi, leo maandamano hata hawaeleweki wanataka nini na hawataki nini! Nchi nyingine fanyeni siasa za kisasa za kujali utu wa wananchi wenu, siasa za demoghasia kamwe nchi haiwezi kuendelea hata siku moja.
Mitumba kabisa tena ya kubebea ng'ombe ndio maana waliyaweka kwenye mifuko ya plastics ili kutuzuga wazalendo.nchii ngumu sana hii.Mabehewa ni mapya au mtumba?
nani amekuambia uige dogo...Kuiga siasa za hao nyang’au ni sawa na kujichimbia kaburi.
Hakuna. Una swali lingine wewe nyang'au?nani amekuambia uige dogo...