Nilijua ni Mbs tu ndio wana shida nazo, Kumbe hadi huku

Nilijua ni Mbs tu ndio wana shida nazo, Kumbe hadi huku

Ngoja tujizuie kutuma tuma sms zisizo kuwa na ulazima ili huto tu sms 9000 tu savaiv kwa hako ka wiki (Tu siku 7)
 
Mbona sio kweli
Screenshot_20221112-203336_Phone.jpg
 
Ndo ivyo sasa,wananchi tukihoji tunaambiwa tuamie Burundi kwa Rais Ndaishimiye.
 
Hongereni Airtel
Kutoka sms 10,000 kwa buku (Mwezi mzima)

Hadi sms 9,000 kwa buku (Bei ile ile), tena sio mwezi tena bali ni kwa wiki

Hili ni zaidi ya ongezeko la 50%
Hakika mnaupiga mwingi

Yeyote anayenufaika na huu ujinga wanao ufanya makampuni ya simu, mungu ambariki sana
Umeshaambiwa ukitaka isiwe na kikomo usinunue vifurushi tumia salio la kawaida, na wakasisitiza kwa lugha ya kigeni wakasema "normal tariff"
 
Hongereni Airtel
Kutoka sms 10,000 kwa buku (Mwezi mzima)

Hadi sms 9,000 kwa buku (Bei ile ile), tena sio mwezi tena bali ni kwa wiki

Hili ni zaidi ya ongezeko la 50%
Hakika mnaupiga mwingi

Yeyote anayenufaika na huu ujinga wanao ufanya makampuni ya simu, mungu ambariki sana
Sms 9000 kwa mwezi za nini? Hata wakifanya 100 tu kwa mwezi zinatosha. Issue ni data
 
Mkuu unalilia sms nyingi kwani unatuma zile sms za tuma kwenye namba hii??

Ulimwengu wa sasa hivi unalilia sana DATA kwa ajili ya internet kuliko hizo sms na dk
 
Back
Top Bottom