Nilijua ni Mbs tu ndio wana shida nazo, Kumbe hadi huku

Ngoja tujizuie kutuma tuma sms zisizo kuwa na ulazima ili huto tu sms 9000 tu savaiv kwa hako ka wiki (Tu siku 7)
 
Ndo ivyo sasa,wananchi tukihoji tunaambiwa tuamie Burundi kwa Rais Ndaishimiye.
 
Umeshaambiwa ukitaka isiwe na kikomo usinunue vifurushi tumia salio la kawaida, na wakasisitiza kwa lugha ya kigeni wakasema "normal tariff"
 
Sms 9000 kwa mwezi za nini? Hata wakifanya 100 tu kwa mwezi zinatosha. Issue ni data
 
Mkuu unalilia sms nyingi kwani unatuma zile sms za tuma kwenye namba hii??


Ulimwengu wa sasa hivi unalilia sana DATA kwa ajili ya internet kuliko hizo sms na dk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…