Nilijua nimeshatoka...

Nilijua nimeshatoka...

chitanda.nyoka

Senior Member
Joined
May 3, 2012
Posts
193
Reaction score
43
Wa tz cjui tumelogwa na nani?niliitwa kwenye interview na nimetoka mbali from nanyumbu mtwara huko cyo halafu nimepigiwa cm j5 natakiwa dsm ijumaa nimejitahidi nimefika dsm but nimechoka vibaya nimeingia kwenye interview nikakuta wazungu 2 mbongo mmoja coz ni mara 1 kupga interview nilikua nnahofu kinoma na wale wazungu ikizingatia english yenyewe ya kuungaunga lakini cha ajabu wale wazungu walikua wanajitahidi kuongea english rahisi hili niwaelewe na nilikua nna wajibu fresh hla huyo mswahili alikua anaongea english km ananikoma misamiati migum yaani nnarudi gheto nnacheki kamusi ni vitu vinaeleweka niliulizwa maswali 8 mzungu 3 mbongo 5 ya mzungu nimepga ya mtz yote nimein
 
Kilaza ni kilaza tu.acha kumcngzia huyo mbongo mwenzetu.
 
Ila kweli, ni tatizo letu waswahili kuprove tunajua kiingereza au lugha zingine za watu kwa kutumia misamiati. Ndipo hapo ubapojiuliza lengo la lugha hasa ni nini?

Nimefindishwa na wazungu na kufanya nao kazi, wanatumia lugha rahisi sana! Jana nilikuwa namsikiliza Hilary Clinton, lugha yake hadi raha.

Ngoja aje Kiranga na wenzake hadi kero!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahah!!! Kumbe ni weewe.. Nilikuweza kwelikweli, na sikujua kama upo JF.. Nilitoka Mwanza mpaka Dar ili nije niwa'interview.. Pole sana. Ila hukuwa peke yako, wengne walifanya jana na kesho yake..

Kwi kwi kwi kwi.. Hata kujieledha hujui, ningekusaidiaje?? Teh teh teh!!
 
Interviews nyingi za makampuni, taasisi na sekta mbalimbali wanatabia moja ambayo kimsingi haipo sahihi,
"Wanauliza maswali ambayo wanataka kujua ni kwa kiasi gani HAUJUI badala ni kwa kiasi gani UNAJUA" na matokeo ya Interview yanategemea hapo.
Hili kimsingi linakwamisha wengi wenye experience ndogo au wasio nayo kabisa.
Pole mkuu!
 
Hahahahahah!!! Kumbe ni weewe.. Nilikuweza kwelikweli, na sikujua kama upo JF.. Nilitoka Mwanza mpaka Dar ili nije niwa'interview.. Pole sana. Ila hukuwa peke yako, wengne walifanya jana na kesho yake..

Kwi kwi kwi kwi.. Hata kujieledha hujui, ningekusaidiaje?? Teh teh teh!!

mbumbumbu, hebu acha masikhara mkuu!
 
Ila kweli, ni tatizo letu waswahili kuprove tunajua kiingereza au lugha zingine za watu kwa kutumia misamiati. Ndipo hapo ubapojiuliza lengo la lugha hasa ni nini?

Nimefindishwa na wazungu na kufanya nao kazi, wanatumia lugha rahisi sana! Jana nilikuwa namsikiliza Hilary Clinton, lugha yake hadi raha.

Ngoja aje Kiranga na wenzake hadi kero!
ushawahi kuelewa kingereza cha mkapa?
 
Wabongo full kubaniana, huyo mbongo alikuwa anakukomoa labda tayari alikuwa ana mtu wake akataka wewe uchemshe....
 
kiongozi!wala sio kwamba umelogwa ingawa nalo lawezekana,upo kwenye mapito tu,ambayo katk maisha watu hupitia mapito tofauti.Huo ni wakati wako,kumbuka kunawakati wa kupata,wakati wa kukosa,wakati wa kulia,wakati wa kucheka.Wakati wako haujafika,wakati ukifika mambo huwa mtelemko.Wakati ukifika utajishangaa tena kama unavyojishangaa sasa.kuwa mvumilivu,No sweet without sweat!
 
Mi mwenyewe imenitokea...kujibu tu swali la kwanza wakaanza kunikosoa...sijui relax mara hujui kiingereza, hapo wakaniharibia mud kabisa. Muda mwingine wanakuwa tayari na watu hivyo wanatafutia mtu sababu za kushindwa...
 
Ila kweli, ni tatizo letu waswahili kuprove tunajua kiingereza au lugha zingine za watu kwa kutumia misamiati. Ndipo hapo ubapojiuliza lengo la lugha hasa ni nini?

Nimefindishwa na wazungu na kufanya nao kazi, wanatumia lugha rahisi sana! Jana nilikuwa namsikiliza Hilary Clinton, lugha yake hadi raha.

Ngoja aje Kiranga na wenzake hadi kero!

Masikini akipata.......
 
kiongozi!wala sio kwamba umelogwa ingawa nalo lawezekana,upo kwenye mapito tu,ambayo katk maisha watu hupitia mapito tofauti.Huo ni wakati wako,kumbuka kunawakati wa kupata,wakati wa kukosa,wakati wa kulia,wakati wa kucheka.Wakati wako haujafika,wakati ukifika mambo huwa mtelemko.Wakati ukifika utajishangaa tena kama unavyojishangaa sasa.kuwa mvumilivu,No sweet without sweat!

Mkuu, Wakati ndio sasa!
 
Mkuu, Wakati ndio sasa!

kiongozi!ndio nakubali wakati ndio sasa lakini je ni wakati gani?wa kulia?kupata?,au.....wakati ukifika hata kama kiingereza hujui utapata tu,nadhani utakumbuka wabunge walivyokuwa wanajieleza bungeni
 
Hapana, mimi ninapingana na ninyi.. Mimi ni kijana mdogo tu, nimepita katika misukosuko mingi ya kupata kazi.. Na ofcoz nimefanya kazi sehemu tatu tofauti mpaka sasa.. Katka njia zote hzo nimejifunza watanzania huwa tunakosa kujiamini pale tunapokabiliana na maswala yanayobashiri maisha yetu ya baadae (we lose confidence when we confront challenges that determines our future).. Na hili linatokea hata kwenye michezo.. Unakuta timu ya Tanzania imefundishwa vizuri na ina kiwango lakn inafungwa na kibonde toka nje.. Sababu kubwa ni ile kufikiria kwamba hv tukifungwa itakuwaje.. Na hawa jamaa si wametuzidi kiwango.. Na mawazo mengne kadha wa kadha.. Kwa hvyo sisi tunaposhndana mahala popote huwa tunawaza failure badala ya victory.. Hatujipi moyo kwamba “naweza na nitashinda” na hili na kosa toka kwa wazazi tukiwa wadogo, tukifanya kitu utasikia “acha.. Huwezi.. Utaumia.. Vibaya.. We huwa huna akili.. Hakuna hata ndugu yako aliyewah kufanya hvyo sembuse wewe.. N.k” sasa haya maneno tumekuwa tukikua nayo na kutuathiri ukubwani..

Ni sawa na hili la interview.. Mtu unaingia kwenye chumba unakuta interviewer (m'bongo kama wewe) anaongea kiingereza kizuri kukuzidi huku anatabasamu, kwa kuona/kusikia tu kingereza chake tayari akili mwako inalia kengele ya kufeli.. Sasa akikwambia jieleze, unaanza ”a.a.a.a. Zeee.. U know.. My name is Hashimu.. Yes football.. I play.. Yaani hujaeleza lolote la maana, full kujichanganya.. Sasa akikuuliza na swali la professional au akiuliza ”why do u thnk we should hire u” au akirahisisha ”what wil be ur input to this company” ndio kabsaa na misamiati ya kingreza inapotea.. Unaanza kumwona interviewer anatumia kingreza kigumu..

Tujifunze kwa watu kutoka nje, hata kama hawajui kiswahili, stil wana confidence ya kuongea hcho hcho kibovu mradi mnaelewana.. Mwisho wa siku wanashinda.

Let's bear confidence!
 
amaaaaaa! ashitada nnugulile kajekaje? pole thana mmwera mwendhangu, wabongo ha2pendani na hatha wakijua huyu ni chinga bathi ndo kabitha wanakunung'inidha. uthishangae huyo naye ni mwendhetu wa kulekule umwerani bat anjifanya mtoka mbali. Ila ucjali kaka kwani, ''LIWIKE LISIWIKE KUTAKUCHA TU KWANI KUWIKA NI UMBEA WAKE''. kupambazuka kupo palepale.
 
Kiongozi! mbumbumbu umeshasema umepita katka misukosuko mingi ya kupata kazi,bado unarudi palepale kwenye hoja "wakati wa...." wakati wako wa kupita mazingira magumu ulipita na ukaingia kwenye wakati wa kupata na ukapata au sio!
 
Last edited by a moderator:
Wa tz cjui tumelogwa na nani?niliitwa kwenye interview na nimetoka mbali from nanyumbu mtwara huko cyo halafu nimepigiwa cm j5 natakiwa dsm ijumaa nimejitahidi nimefika dsm but nimechoka vibaya nimeingia kwenye interview nikakuta wazungu 2 mbongo mmoja coz ni mara 1 kupga interview nilikua nnahofu kinoma na wale wazungu ikizingatia english yenyewe ya kuungaunga lakini cha ajabu wale wazungu walikua wanajitahidi kuongea english rahisi hili niwaelewe na nilikua nna wajibu fresh hla huyo mswahili alikua anaongea english km ananikoma misamiati migum yaani nnarudi gheto nnacheki kamusi ni vitu vinaeleweka niliulizwa maswali 8 mzungu 3 mbongo 5 ya mzungu nimepga ya mtz yote nimein

Mbona kama hujamalizia, umeingia chaka? choo cha kike? au ameingia nini.........
 
Usiombe ukakutana na Mkenya mkuu.. Hali yako itakua mbaya
 
Back
Top Bottom