Nilijua Tanzania tunapigwa na mikopo ya mtandaoni, huko Kenya ni balaa na nusu

Nilijua Tanzania tunapigwa na mikopo ya mtandaoni, huko Kenya ni balaa na nusu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
IIe mikopo yetu ya mtandaon na makelele watu wanatumiwa msg za madeni wasiohusika nilijua ziko Tanzania tu

Hii michezoo iko hadi Kenya. Benki kuu imelaan tabia inayoendelea na wahusika wanaokopesha mtandaon na kuanza kuwasumbua watu walio kwenye cont za mdaiwa

Wamesema makubaliano n anaechukua mkopo na wao na sio walio kwenye cont zao

Wameapa kuanzia Dec kampuni zitahitajika kujisajili upya na kusaini makubaliano na pale watakapoenda kinyume basi wahusika watashatakia

Haha huko kuna whitepath kachafua halia ya hewa mbayaa kila kama kaipitia

Kazi ipo....

Na wasiwasi hata haya makampuni hapa Tanzania mengi n ya wakenya Wallah sio kwa usanii ule
 
huu mtandaoo mpana sanaaa

ukiona hivi ujue kuna kigogo ama ndugu wa kigogo kaguswa yamemkuta
 
Back
Top Bottom