Nilijua tu hii ya Marioo ni Kiki

Nilijua tu hii ya Marioo ni Kiki

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Hiv karibuni Marioo ameuzishwa na kutaka kujinyonga kisa mapenzi. Na hii Ni baada ya kupost kitanzi bila caption na watu kutafsiri anajinyonga kumbe ametoa wimbo unahusiana na kicho kitanzi.

Shida niliyoiona wabongo wanapenda umbeya wabongo ukiwawekea picha tu tafsiri watatoa wao ndio maana wasanii wanaotumia Sana huu dhaifu ili mambo yao yaende.

Hata hili suala la Marioo kuhusishwa kwamba amewahi kutoka na Mimi Mars sizani Ni kweli wao wenyewe wamedhibitisha kuwa hawana mahusiano na Wala hawajawahi kuwa na uhusiano.Namnukuu Mimi ,ars "watu wananihusisha na Marioo hii Ni kwasababu hawamjui mchumba wangu Ni Nani me Nina mtu wangu kabisa huyo Marioo sio boyfriend wangu zaidi ya kufanya nae kazi na kazi itatoka soon ndio maana ndio picha nimeonekana nipo nae studio na si kwingine" baada ya kauli hiyo tukaona kweli Kuna ngoma ikatoka Mimi Mars ft Marioo & young lunya

Na alivyoulizwa Marioo kuhusu kuhusishwa kihusiano na Mimi Mars akasema " Mimi Mars Ni sister wangu nipo nae karibu kwa sababu tuna kazi tunaifanya na soon itatoka na Hakuna kingine Cha ziada"

Me Kuna wakati unaweza kusema wasanii wanapenda Kiki kumbe mashabiki ndio wanapenda kiki na umbeya zaidi hata kuliko hao wasanii wao wenyewe washakiri Hakuna mahusiano wewe Ni Nani useme Wana uhusiano.
 
Kuna Wanaume wengine ni 'Wapumbavu' sana yaani 'Kukataliwa' na Mwanamke ndiyo utake Kujiua? Mbona wengine 'tumeshakomaa' katika 'Kukataliwa' au 'Kutoswa' na Wanawake ambao pengine tulikuwa nao 'Kimahusiano' au hata 'Kuwatogoza' tu lakini wala 'hatujaumia' kiasi cha kutaka 'Kujiwahisha' kwa Mwenyezi Mungu Mbinguni kabla ya muda alioupanga. Wanawake wako wengi kwanini 'Uteseke' na Mmoja tu pekee?
 
Marioo katoa wimbo
 
Mzee Naona unatetea mkate wa bosi aonekane anakula vitu high.
Wakat madog kina marioo wamedinyaa.
Mpka young lunya katafuna .

Hii hainaga makombo bhna mwambie bosi a enjoy
 
Unaogopa boss wako kuonekana anakomboleza walikokula wengine?
Hii ni kawaida kuachiana mitumba mbona?
Chawa utawaweza mkuu.
Anataka ionekane bosi kala vipya kumbe wengine walishatafuna.
Sasa Mimi mars kwa akili ya kawaida atakubali kuwa katafunwa na marioo?
 
Chawa utawaweza mkuu.
Anataka ionekane bosi kala vipya kumbe wengine walishatafuna.
Sasa Mimi mars kwa akili ya kawaida atakubali kuwa katafunwa na marioo?
We una uhakika gani Diamond kamtafuna Mimi Mars?
 
Back
Top Bottom