Broadcast
Member
- Jun 19, 2022
- 76
- 285
Waungwana siku kadhaa nyuma diamond kwenye Insta story yake alichimba mikwara kwamba anarudi na kasi ya hatari na atakua trending no.1 mpaka january 2024. Mimi nilijua ilikua mikwara tu.
Kudhihirisha hilo leo ametoa wimbo wake wa my baby nafikir wote mmejionea Promo kubwa wimbo wa kawaida....Mfano huo wimbo angeimba underground yoyote tofauti na Diamond ungepigwa leo tu..
Diamond anashuka
Diamond anapoteza ubora wake
Watanzania hawaoni hilo kwakua wamemzoea