Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Jamani hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kumbe promo zote zile clouds walikuwa wanataka kumsajili alikiba. Upuuzi mtupu. Ila sio kesi levo zake ni za akina Rayvan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. IMENIUMA KWELIMbona kama umeumia mkuu? Clouds radio yao wenyewe na wao ndio wameona wamsajili huyMo nani sijui Ali Kiba sijui sasa inakuwaje unaumia namna hii mkuu? Hivi kwanini vijana wa TZ tunakuwa na mahaba yasiyo na tija kiasi hiki aisee? Kuna shida gani wakimsajili arawa? Watapunguza ugali wako home au wataongeza?
Yaani vijana muda mnaotumia kufwatisha haya mambo na kuyaingiza mioyoni laiti mngejua unavyopotea asee
Wakimsajili Ali wakamsajili Nasib wakamsajili Chid Benz wa Tupac kisha wakamsajili Saida alafu wakamalizia kumsajili yule Mmakonde mwenzangu anaehangaika na makiki kila leo hadi anaboa mkuu inakupunguzia nini mkuu?
Hebu relax, fuatilia kwa kiasi tu usiwe unaumia kwa haya mambo, USISAHAU TU! Narudia tena USISAHAU TU kwa wenzako hao clouds na Ali Kiba ni biashara na wameingiza hela hapo sasa wewe na mimi?
Shoga=RafikiSnitch na shoga hawana tofauti
Hata wa kiume sio?Shoga=Rafiki
Mkuu hatakuelewa kabisa ukiwa na mambo ya uteam sijui unakuaje jamanMbona kama umeumia mkuu? Clouds radio yao wenyewe na wao ndio wameona wamsajili huyo nani sijui Ali Kiba sijui sasa inakuwaje unaumia namna hii mkuu? Hivi kwanini vijana wa TZ tunakuwa na mahaba yasiyo na tija kiasi hiki aisee? Kuna shida gani wakimsajili arawa? Watapunguza ugali wako home au wataongeza?
Yaani vijana muda mnaotumia kufwatisha haya mambo na kuyaingiza mioyoni laiti mngejua unavyopotea asee
Wakimsajili Ali wakamsajili Nasib wakamsajili Chid Benz wa Tupac kisha wakamsajili Saida alafu wakamalizia kumsajili yule Mmakonde mwenzangu anaehangaika na makiki kila leo hadi anaboa mkuu inakupunguzia nini mkuu?
Hebu relax, fuatilia kwa kiasi tu usiwe unaumia kwa haya mambo, USISAHAU TU! Narudia tena USISAHAU TU kwa wenzako hao clouds na Ali Kiba ni biashara na wameingiza hela hapo sasa wewe na mimi?
Yaani ukiwa na uTeam akili unampa mwenye jina la timu wewe unabaki na ushabiki maandazi tuMkuu hatakuelewa kabisa ukiwa na mambo ya uteam sijui unakuaje jaman
Yaan hata akijikojolea atatoka atabisha kwa nguvu zote na picha zipo aisee akili inakuwa sio yako kabisaYaani ukiwa na uTeam akili unampa mwenye jina la timu wewe unabaki na ushabiki maandazi tu
mistake nyingine kubwa kuliko zote aliyofanya diamondi ni hii ya kukaa mbali na hawa jamaa,hawa jamaa wameshikilia mziki wa bongo,wakiamua kukushusha wanakushusha na wakiamua kukupandisha wanakupandisha,mfano mzuri saida kaloli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] saafffff!!Mbona kama umeumia mkuu? Clouds radio yao wenyewe na wao ndio wameona wamsajili huyo nani sijui Ali Kiba sijui sasa inakuwaje unaumia namna hii mkuu? Hivi kwanini vijana wa TZ tunakuwa na mahaba yasiyo na tija kiasi hiki aisee? Kuna shida gani wakimsajili arawa? Watapunguza ugali wako home au wataongeza?
Yaani vijana muda mnaotumia kufwatisha haya mambo na kuyaingiza mioyoni laiti mngejua unavyopotea asee
Wakimsajili Ali wakamsajili Nasib wakamsajili Chid Benz wa Tupac kisha wakamsajili Saida alafu wakamalizia kumsajili yule Mmakonde mwenzangu anaehangaika na makiki kila leo hadi anaboa mkuu inakupunguzia nini mkuu?
Hebu relax, fuatilia kwa kiasi tu usiwe unaumia kwa haya mambo, USISAHAU TU! Narudia tena USISAHAU TU kwa wenzako hao clouds na Ali Kiba ni biashara na wameingiza hela hapo sasa wewe na mimi?
Acha roho mbayaaaaMSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. IMENIUMA KWELI
Ilikua zaman cku hiz mitandao inafanya kaz ..mfano..sisi tupo nje ya tz lkn tunapata nyimbo zote na hatuijui cloudsmistake nyingine kubwa kuliko zote aliyofanya diamondi ni hii ya kukaa mbali na hawa jamaa,hawa jamaa wameshikilia mziki wa bongo,wakiamua kukushusha wanakushusha na wakiamua kukupandisha wanakupandisha,mfano mzuri saida kaloli