Mbona kama umeumia mkuu? Clouds radio yao wenyewe na wao ndio wameona wamsajili huyo nani sijui Ali Kiba sijui sasa inakuwaje unaumia namna hii mkuu? Hivi kwanini vijana wa TZ tunakuwa na mahaba yasiyo na tija kiasi hiki aisee? Kuna shida gani wakimsajili arawa? Watapunguza ugali wako home au wataongeza?
Yaani vijana muda mnaotumia kufwatisha haya mambo na kuyaingiza mioyoni laiti mngejua unavyopotea asee
Wakimsajili Ali wakamsajili Nasib wakamsajili Chid Benz wa Tupac kisha wakamsajili Saida alafu wakamalizia kumsajili yule Mmakonde mwenzangu anaehangaika na makiki kila leo hadi anaboa mkuu inakupunguzia nini mkuu?
Hebu relax, fuatilia kwa kiasi tu usiwe unaumia kwa haya mambo, USISAHAU TU! Narudia tena USISAHAU TU kwa wenzako hao clouds na Ali Kiba ni biashara na wameingiza hela hapo sasa wewe na mimi?
Mie diamond damu kabisa yaan namuelewa sana ila kama kiba alipewa promo na clouds kiukwel sijaona ubaya fiesta ni biashara sas a bila kutangaza bidhaa sokon haitatoka clouds wafanyabiashara wasilaumiwe kwa lolote....kiba asilaumiwe embu tuache lawama ni tabia ya kimasikini sana.Kambaku msamehe tu mkuuMbona kama umeumia mkuu? Clouds radio yao wenyewe na wao ndio wameona wamsajili huyo nani sijui Ali Kiba sijui sasa inakuwaje unaumia namna hii mkuu? Hivi kwanini vijana wa TZ tunakuwa na mahaba yasiyo na tija kiasi hiki aisee? Kuna shida gani wakimsajili arawa? Watapunguza ugali wako home au wataongeza?
Yaani vijana muda mnaotumia kufwatisha haya mambo na kuyaingiza mioyoni laiti mngejua unavyopotea asee
Wakimsajili Ali wakamsajili Nasib wakamsajili Chid Benz wa Tupac kisha wakamsajili Saida alafu wakamalizia kumsajili yule Mmakonde mwenzangu anaehangaika na makiki kila leo hadi anaboa mkuu inakupunguzia nini mkuu?
Hebu relax, fuatilia kwa kiasi tu usiwe unaumia kwa haya mambo, USISAHAU TU! Narudia tena USISAHAU TU kwa wenzako hao clouds na Ali Kiba ni biashara na wameingiza hela hapo sasa wewe na mimi?
Wewe naeee[emoji23]mistake nyingine kubwa kuliko zote aliyofanya diamondi ni hii ya kukaa mbali na hawa jamaa,hawa jamaa wameshikilia mziki wa bongo,wakiamua kukushusha wanakushusha na wakiamua kukupandisha wanakupandisha,mfano mzuri saida kaloli
km wameshikilia muziki wa bongo.dai yy anafanya shoo za had ufunguz wa AFCON.huko clouds hawafiki.mistake nyingine kubwa kuliko zote aliyofanya diamondi ni hii ya kukaa mbali na hawa jamaa,hawa jamaa wameshikilia mziki wa bongo,wakiamua kukushusha wanakushusha na wakiamua kukupandisha wanakupandisha,mfano mzuri saida kaloli
Milion 5